Local News News

Visa vya watoto kutoweka na kuwawa vyazidi Kaunti ya Kwale

Zaidi ya watoto sitini wameuwawa na wengine kumi na nane kutoweka katika njia tatanishi kaunti ya Kwale tangu mwaka wa 2014.

Kulingana na utafiti wa shirika la kutetea haki  za kibinadamu la Huria,Pande za Matuga na Mswambweni zimerekodi idadi kubwa ya  vijana waliotekwa nyara na wakongwe kuawa.

Afisa wa shirika hili Mwinyihaji Chamosi anasema kumekuwa pia na mauaji yanayotekelezwa na polisi kwa madai ya kukabiliana na visa vya ugaidi.

 

Related posts

Jubilee party updates on Raphael Tuju’s health

John Kiunga

Wetangula and Kalonzo gang up to bring down Raila in Kibra

Magical Kenya news

Murang’a residents warned of possible landslides due to heavy rains

Magical Kenya news