Entertainment

Wenyeji wa Kaunti ya Mombasa wamwaga Kinyesi nje ya afisi za Kaunti

Wenyeji wa County ya Mombasa Haswaa Wanaoishi Kwenye Vitongoji Duni wamemwaga Kinyesi nje ya afisi za kaunti hii Wakilalamikia Ukosefu Wa Vyoo.

Waliandamana Hadi Afisi Za Gavana Ali Hassan Joho, Kwa Hasira Kuashiria Ghadhabu Zao.

Hali kama hii inashuhudiwa mtaani Mukuru kwa Njenga Jijini Nairobi ambapo wenyeji wanasema hawana vyoo. Kaunti ya Kisumu, kumebainika ya kwammba Asilimia 13 Ya Wenyeji Hawatumii Vyoo Wanapoenda Haja.

Kulingana Na Shirika La Afya Ulimwenguni Takriban Watu Bilioni 4.2 Ulimwenguni Hawana Vyoo, Milioni 673 Wakiaarifiwa Kutumia  Maeneo Wazi Kuenda Haja.

Kauli Mbinu Mwaka Huu Ya Maadhimisho Ya Siku Ya Choo Uliwenguni Ni  “Hakuna Anaayefaa Kuachwa Nyuma”

Siku hii huadhimishwa kila mwaka tarehe 19 mwezi wa 11.

Related posts

Why Jeff Koinange is ‘glad’ his father died when he was just two

MKN CORRESPONDENT

Video: Why Kabogo was forced to climb mortuary gate during De’Mathew’s final journey

MKN CORRESPONDENT

ROSE WANJOHI: The RMS demigod HR manager who instilled fear & trampled on employees’ rights as she presided over a looting cartel

MKN CORRESPONDENT